″Batu bawili bana biti bitatu″ - Viswahili vya Kiswahili | Masuala ya Jamii | DW | 19.06.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

"Batu bawili bana biti bitatu" - Viswahili vya Kiswahili

Kiswahili ni lugha iliyotapakaa kote mashariki na kati ya Afrika ikiwa na chimbuko lake katika pwani ya Afrika Mashariki na sasa ndio lugha inayozungumzwa na sehemu kubwa ya wakaazi wa eneo hilo.

Sikiliza sauti 09:39

"Batu bawili bana biti bitatu" - Viswahili vya Kiswahili

Unaposikia "Batu bawili bana biti bitatu" unafahamu nini? Watu wa kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekuwa wakitumia Kiswahili kwa karne kadhaa sasa, ila suali kubwa ni ikiwa wanatumia Kiswahili cha aina gani? Mhadhiri wa Kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Lubumbashi, George Mulumbwa, anazungumza na Mohammed Khelef kwenye Kiswahili Kina Wenyewe juu ya kukua na kutumika kwa Kiswahili kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com