1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bado miaka 99 ya kufikia usawa wa jinsia

Zainab Aziz7 Juni 2021

Kulingana na ripoti ya Jukwaa la kimataifa la uchumi, WEF hivi karibuni imesema ulimwengu utapaswa kusubiri kwa karibu karne moja kabla ya kushuhudia usawa wa jinsia. Kulikoni? na nini kinachoweza kufanyika kwa sasa? Ungana na Zainab Aziz anayeiangazia ripoti hiyo na mengineyo katika kipindi hiki cha wanawake na maendeleo.

https://p.dw.com/p/3uX82