1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baada ya masheikh wa uamsho kuachiwa huru watu wana maoni gani?

17 Juni 2021

Baada ya Masheikh wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) waliokuwa wanashikiliwa kwa miaka tisa sasa katika magereza ya Ukonga Dar es Salaam kuachiwa huru, yapi yanayozungumzwa? Ahmad Juma alikusanya maoni haya.

https://p.dw.com/p/3v6Bg