1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za madawa ya kulevya Mombasa

Faiz Musa 3 Januari 2020

Dawa kali za kulevya zimepoteza maisha ya vijana wengi Mombasa, Kenya. DW imezungumza na waraibu wa mihadarati wakieleza tangu walivyotumbukia katika janga hilo hadi walipofanya uamuzi wa kuachana nayo.

https://p.dw.com/p/3VgAL