AMISOM yajiandaa kuondoka Somalia | Media Center | DW | 09.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

AMISOM yajiandaa kuondoka Somalia

Wakati vikosi vya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM vikitekeleza kwa hatua azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuvita viondoke nchini humo ifikapo 2021, makanda wa vikosi wameonya kuwa hatua hiyo haipaswi kufanywa kwa pupa. Sadabu Kaaya aliambatana na ujumbe huo kujionea namna wanavyotekeleza azimio la Umoja wa Mataifa na hii hapa ndiyo ripoti yake.

Tazama vidio 03:04
Sasa moja kwa moja
dakika (0)