1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

AFCON 2019

Kombe la mataifa ya Afrika kwa mwaka 2019, maarufu kama Kombe la Total la Mataifa ya Afrika kwa sababu za ufadhili, ndiyo kombe la 32 la mataifa ya Afrika, likizishirikisha timu za wanaume kutoka mataifa ya Afrika.

Mashindano hayo yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, yanaandaliwa na shirikiisho la kandanda barani Afrika CAF. Mashindano ya mwaka 2019 yamefanyika nchini Misri. Huu ni mkusanyo wa maudhui za DW kuhusu kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2019.

Onesha makala zaidi