Siasa24.04.2026 Matangazo ya AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaDIRA.BZ24.04.202624 Aprili 2026Mfumo wa afya nchini Lebanon unaendelea kulegalega, licha ya kusimama kwa muda kwa mapigano kati ya Israel na Hezbollah+++Mswada uliowasilishwa na mamlaka za Uganda wenye lengo lililotajwa la kuzuia uingiliaji wa kigeni umeibua ukosoaji mkubwa. https://p.dw.com/p/5CkWiMatangazo