Iran yasema haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kama mzingiro wa kijeshi wa Marekani utaendelea // Ujerumani na India zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa ulinzi // Na Majaji wa ICC wakataa ombi la kumwachilia huru rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte