1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.11.2020 Matangazo ya Mchana

Sudi Mnette
21 Novemba 2020

Serikali ya Ethiopia imekanusha taarifa kwamba mazungumzo kuhusu mgogoro unaotokota wa jimbo la kaskazini la Tigray yanakaribia kuanza, ikiwa ni saa chache baada ya marais watatu wa Afrika, kutajwa kushiriki kusaidia mgogoro huo ambao una wiki ya pili sasa.

https://p.dw.com/p/3leDv