17.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

17.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Rais wa Marekani na mwenzake wa Urusi wamesema mkutano wao wa mjini Geneva umekuwa wa mafanikio. Umoja wa Ulaya umetangaza kuondoa mafuruku kwa wasafiri kutoka nchi kadhaa ikiwemo Marekani. China imerusha roketi itakayowapeleka wanaanga watatu kwenye kituo chake kipya cha anga za mbali.

Sikiliza sauti 08:00