16.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

16.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Rais wa Marekani na mwenzake wa Urusi wanakutana leo kwa mazungumzo mjini Geneva. Walowezi wa kiyahudi wamefanya maandamano mjini Jerusalem yaliyolaaniwa na Wapalestina. Ufaransa imeibamiza Ujerumani bao moja kwa bila katika mchezo wa mashindano ya kandanda barani Ulaya.

Sikiliza sauti 08:00