15.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 15.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

15.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya NATO wamalizika kwa kuzikemea China na Urusi. Rais Joe Biden leo atafanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya. Waisraeli wenye msimamo mkali wanapanga kufanya maandamano mjini Jerusalem Mashariki.

Sikiliza sauti 08:00