1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.11.2018: Matangazo ya Jioni

10 Novemba 2018

Kwenye Matangazo ya Jioni, pamoja na mengineyo utasikia shughuli zinazoendelea kufanyika katika maadhimisho ya miaka 100 tangu kumalizika kwa vita vya kwanza vya dunia, Nchini Somalia, idadi ya waliokufa kutokana na shambulizi la kujitoa muhanga yazidi kuongezeka pamoja na makala za Vijana Mchakamchana na Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/381lH