Polisi mjini Toronto inamshikilia dereva aliyewauwa watu10 na kujeruhi wengine 15 baada ya kuwagonga kwa makusudi watembea kwa miguu kandoni mwa barabara mjini humo. Dereva huyo Alek Minassian, ni kijana mdogo tu mwenye miaka 25! Papo kwa Papo: 24.04.2018.