1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.05.2026: Matangazo ya Jioni

9 Mei 2026

Uingereza kutuma meli ya kivita Mashariki ya Kati kulinda safari za meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz wakati vita vitakapokwisha. Urusi yailaumu Ukraine kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano. Chama cha Labour nchini Uingereza chaandikisha matokeo mabaya katika uchaguzi nchini humo.

https://p.dw.com/p/5DWm3
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus Flash-Galerie
Picha: picture-alliance/ dpa

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)