1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.05.2026 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Mei 2026

Urusi na Ukraine zimeshutumiana hii leo Ijumaa, kwa kukiuka makubaliano ya upande mmoja ya usitishwaji vita kwa siku mbili+++Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights limeitaka serikali ya Rwanda kuanzisha uchunguzi huru kuhusu kifo cha mkosoaji maarufu wa serikali ya Rwanda, Aimable Karasira.

https://p.dw.com/p/5DU0Q