1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.04.2021 - Matangazo ya Asubuhi

7 Aprili 2021

Mazungumzo kati ya Iran na madola yenye nguvu kuhusu mkataba wa nyuklia yamefanyika mjini Vienna. Umoja wa Ulaya umesema Uturuki inapaswa kuheshimu haki za binadamu kama inataka ushirikiano wa karibu. Zaidi ya watu 4,000 wamekufa nchini Brazil kutokana na COVID-19 ndani ya siku moja.

https://p.dw.com/p/3reXx