Mataifa ya Afrika Magharibi leo yanatuma ujumbe wa ngazi ya juu Ivory Coast baada ya kutishia kutumia nguvu iwapo Laurent Gbagbo atagoma kujiuzulu