DeutscheWelle:Gabon inapania leo kuifikia mwandalizi mwenza Guinea ya Ikweta itakapopambana na Niger huku Tunisia na Moroko zinacheza pia leo katika kombe la Afrika.
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limefikia makubaliano kuhusu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika itakayotimua vumbi mwezi Julai na Agosti mwaka ujao wa 2025 nchini Morocco.
Ivory Coast jana imeandika historia baada ya kujinyakulia taji la ubingwa wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kuitwanga Super Eagles ya Nigeria mabao 2-1.
Emerse Fae ametuzwa kwa kuiongoza Cote d'Ivoire kubeba Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON akiwa kocha wa muda. Chama cha kandanda nchini humo kimemthibitisha kuwa kocha wa kudumu