DeutscheWelle:timu zote 2 za Manchester zimewika ugenini katika duru za mchujo za ligi ya Ulaya,hali inayowapa moyo baada ya kutolewa katika kombe la vilabu bingwa.
Nchi 194 wanachama wa Shirika la Afya Duniani WHO zimeshindwa kuafikiana juu ya mkataba uliotafutwa kwa muda mrefu wa kujiandaa kwa majanga
Baraza tawala la mpito la Haiti linaloongoza taifa hilo lililokumbwa na ghasia, litabadilisha uongozi wake kila baada ya miezi mitano. Hii ni kulingana na nakala ya amri rasmi iliyoonekana na AFP
Israel yawaamrisha watu katika maeneo zaidi ya Rafah kuhama, mamia ya watu wahamishwa kutoka mpaka wa Ukraine baada ya shambulizi la Urusi na baraza tawala la mpito la Haiti kuwa na urais wa kupokezana