Deutsche Welle: Misri na Senegal wanawania kesho nchini Morocco nafasi ya kucheza Olimpiki mwakani nchini Uingereza kwa vijana wa chini ya miaka 23.
Mahakama ya Haki barani Ulaya - ECHR imethibitisha kuwa itatathmini rufaa iliyowasilishwa na bingwa mara mbili wa Olimpiki Caster Semenya.
Mkenya Eliud Kipchoge anatarajia kuweka historia kwa kushinda medali yake ya tatu mfululizo ya Olimpiki ya mbio za marathon katika Michezo ya mwaka huu mjini Paris.
Bingwa mara mbili wa Olimpiki wa Kenya Eliud Kipchoge anena baada ya maandalizi yake ya Michezo ya Paris kugonga mwamba.