Zaidi ya watu 50 wameuawa kufuatia mashambulizi ya kujitoa muhanga kwenye msikiti wa madhehebu ya Kishia nchini Afghanistan katika siku ya Ashura.
Zaidi ya watu 30 wamekufa kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Afghanistan ikiwemo katika mji mkuu, Kabul.
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha vifo vya watu wengine 29 nchini Afghanistan katika muda wa siku nne zilizopita. Haya yamesemwa leo na idara ya kudhibiti majanga ya serikali
Tatizo la utapiamlo nchini Afghanistan kwa kiasi kikubwa limechangiwa na msukosuko uliosababishwa na kundi la Taliban kuingia madarakani mnamo mwaka 2021.