Bunge la Thailand limeidhinisha kwa wingi wa kura kuchaguliwa Yingluck Shinawatra ambaye atakuwa waziri mkuu wa kwanza wa kike katika nchi hiyo
Urusi imesema leo kuwa imeviteka vijiji sita mashariki mwa Ukraine wakati wa mashambulizi ya kushtukiza yaliyosababisha kuhama kwa watu wengi.
Israel leo imeendeleza mashambulizi katika maeneo ya ukanda wa Gaza ikiwa ni pamoja na eneo la kusini mwa mji wa Rafah kusini.