Zoezi la kuhesabu kura baada ya uchaguzi wa urais Chad na Benin | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Zoezi la kuhesabu kura baada ya uchaguzi wa urais Chad na Benin

Zoezi la kuhesabu kura baada ya uchaguzi wa urais nchini Chad, huku Idriss Deby Itno akielekea kushinda muhula wa sita madarakani, na nchini Benin Rais Patrice Talon anaelekea kuchaguliwa tena baada ya uchaguzi wa Jumapili uliokumbwa na madai ya wizi wa kura.

Tazama vidio 02:39