1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zitto Kabwe: Watanzania wawe makini na wanaosaka ubunge

4 Julai 2025

Kiongozi mstaafu wa Chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kuwa makini na watu wanaosaka ubunge, akisema bunge ni chombo cha kutunga sheria na sio kufanyia mzaha akitaka bunge Tanzania kupewa hadhi yake.

https://p.dw.com/p/4wyKN