Zimbabwe yapata rais Mpya | Media Center | DW | 24.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Zimbabwe yapata rais Mpya

Emmerson Mnangagwa awafungulia ukurasa mpya Wazimbabwe baada ya kuapishwa kuingia madarakani kurithi nafasi iliyoachwa na Mugabe aliyejiuzulu kwa mbinde baada ya kupata shinikizo kutoka pande zote,Na papa Francis aziombea amani Sudan Kusini na DRC kupitia sala maalum huko Vatican

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)