1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Emmerson Mnangagwa

Emmerson Dambudzo Mnangagwa ni mwanasiasawa Zimbabwe amabye kwa sasa anahudumu kama rais wa taifa hilo tangu Novemba 24, 2017.

Mnangagwa aliingia madarakani kufuatia mapinduzi ya jeshi dhidi ya mshirika wake wa muda mrefu rais wa zamani hayati Robert Mugabe. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Emmerson Mnangagwa.

Onesha makala zaidi