Yajue mambo ya kushangaza kuhusu miti | Mada zote | DW | 18.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Yajue mambo ya kushangaza kuhusu miti

Miti hufyonza gesi ya kaboni kutoka angani, inahifadhi wanyamapori na hata kuboresha ustawi wetu wa akili. Lakini unajua kuwa inaweza pia "kuwasiliana” wenyewe kwa wenyewe, na kutuma ishara inapokuwa inashambuliwa?