Wolfsburg waendeleza ubabe katika Bundesliga | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wolfsburg waendeleza ubabe katika Bundesliga

Wolfsburg yaendelea kutamba katika Bundesliga kwa kuisakama RB Leipzig nyumbani Volkswagen Arena. 35, 70, 84 - Robert Lewandowski - hat-trick! Hertha Berlin yaburuza mkia baada ya kisago cha 5-0 kutoka kwa Bayern Munich! Lionel Messi acheza mechi yake ya kwanza ya Ligue 1 na Paris Saint Germain.

Sikiliza sauti 09:45