Wolfsburg kileleni mwa Bundesliga | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wolfsburg kileleni mwa Bundesliga

Wolfsburg yaipiku Hertha Berlin na kuparamia kileleni mwa Bundesliga, mabingwa Bayern wahemeshwa na Cologne huku Borussia Dortmund ikiangukia pua ugenini Freiburg. Romelu Lukaku awapa salamu Arsenal katika mechi yake ya kwanza baada ya kurejea ligi ya Premier. Gareth Bale amaliza ukame wa kufunga mabao katika La Liga. Na katika mchezo wa tenis Mjerumani Alexander Zverev ashinda taji la Cincinnati.

Sikiliza sauti 09:45