William Tubman: Mwanamageuzi wa Liberia | Asili ya Afrika | DW | 11.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

William Tubman: Mwanamageuzi wa Liberia

Liberia, taifa la watumwa walioachiliwa huru, iljengwa kwa kuwakandamiza watu wake wa asili. William Tubman alipochaguliwa kama rais aliwaunganisha watu wake, na kujaribu kuitayarisha nchi hiyo ili ije iwe na mustakbali mzuri – jambo ambalo hakufanikiwa.

Tazama vidio 02:09