Waziri wa mambo ya nje wa Zambia ajiuzulu | Matukio ya Afrika | DW | 03.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Waziri wa mambo ya nje wa Zambia ajiuzulu

Waziri wa mambo ya nje wa Zambia Harry Kalaba amejiuzulu wadhifa huo akitaja ongezeko la ufisadi serikalini kuwa sababu kuu na zaidi kuwa ufanywa na watu wanaotegemewa kupambana nao. Sikiliza mahojiano hapa

Sikiliza sauti 03:27