1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa Kongo Jean-Michel Sama Lukonde ajiuzulu

John Juma
21 Februari 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu na kusababisha kuvunjwa kwa serikali nchini humo. Lukonde aliwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais Felix Tshisekedi siku nane baada ya kuidhinishwa kwa nafasi yake kama mbunge wa kitaifa. Upi mwelekeo wa siasa nchini humo? John Juma amezungumza na Saleh Mwanamilongo akiwa mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/4chqN