1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wavuvi walalamikia masharti mapya Lamu

2 Desemba 2021

Changamoto wanazopitia pamoja na masharti mapya ya serikali ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku matumizi ya mitego ya samaki aina ya juya na mkano, Mitego waliyokuwa wakiitumia tangu jadi imekua kero kubwa kwa wavuvi katika kaunti ya Lamu nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/43kvA