1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wa jinsia mbili kujumuishwa katika Sensa Kenya

9 Agosti 2019

Kwa mara ya kwanza barani Afrika nchi ya Kenya itaandikisha historia kwa kuwapa nafasi watu walio na jinsia zote mbili kujitambulisha rasmi na kuhesabiwa kwenye sensa. Maandalizi ya sensa yanaelekea ukingoni na zimesalia kiasi ya wiki mbili kabla shughuli kuanza rasmi.

https://p.dw.com/p/3Nf8M