Watu milioni 6.8 kupiga kura Rwanda | Matukio ya Afrika | DW | 20.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi mkuu

Watu milioni 6.8 kupiga kura Rwanda

Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Rwanda imetangaza orodha rasmi ya wapiga kura milioni 6.8 watakaoshiriki kwenye uchaguzi wa Rais utakaofanyika Agosti. Nao waangalizi wa uchaguzi kutoka AU wamewasili Kigali.

Sikiliza sauti 02:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali

                  

Sauti na Vidio Kuhusu Mada