1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto wenye ugongwa wa akili na mradi wa kuosha magari

Bernard Maranga1 Agosti 2018

Katika makala Yetu Leo, Bernard Maranga anakiangazia kituo cha kusafisha magari cha Parklands mjini Nairobi, ambacho kimeanzishwa kwa ajili ya kuwafunza watu walio na ugojwa wa akili, kilichoanzishwa na Maina Gatheru, ambaye pia ana mtoto mwenye matatizo ya ugonjwa wa ajili kwa watoto, maarufu kama Autism.

https://p.dw.com/p/32QI7