Watafuta mvuto kwa kuinua vyuma-Afghanistan | Media Center | DW | 25.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Watafuta mvuto kwa kuinua vyuma-Afghanistan

Vijana wa Kiafghanistan wageukia uinuaji vyuma kutafuta mvuto.Licha ya nchi yao kukabiliwa na mashambulizi ya kila mara vijana wametafuta njia ya kusahau matatizo kwa kuingia Gym kufanya mazoezi ya kutafuta mvuto kwa kuijenga misuli na kutanua vifua.Huu ndio mtindo uliopata umaarufu na hasa mjini Kabul

Tazama vidio 01:05
Sasa moja kwa moja
dakika (0)