Wasichana wenye umri mdogo Kenya wasaidiwa | Anza | DW | 26.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Wasichana wenye umri mdogo Kenya wasaidiwa

Wasichana wapatao 1,300 nchini Kenya hulazimika kuacha masomo kila mwaka kutokana na mimba za utotoni. Maryam Mzee anawasaidia akina mama wenye umri mdogo kurejea shuleni na kuendelea na masomo yao.

Tazama vidio 01:14