Watuhumiwa 12 wa shambulio la Dusit, Nairobi, Kenya, wamekamatwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Dadaab. Je Kenya itayaweka vipi maslahi ya usalama wake na jukumu la kuwahifadhi wakimbizi Daadab? Mwendwa Mbijiwe ni mchambuzi wa masuala ya usalama nchini Kenya.