1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanyama wabarikiwa Mexico

23 Januari 2018

Watu wanaofuga wanyama nyumbani katika mji wa Iztapalapa, Mexico huwapeleka wanyama wa aina zote katika Kanisa la Mtakatifu Pablo Ermitano kila Januari 22 kwa lengo la kubarikiwa, kama sehemu ya kumbukumbu ya Mtakatifu Anthony, mlezi wa wanyama.

https://p.dw.com/p/2rMGG