Wanawake wapambana katika biashara ya kutengeneza vyondo Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 28.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wanawake wapambana katika biashara ya kutengeneza vyondo Kenya

Wanawake ni nguzo kuu ya jamii bila wao ulimwengu ungekosa maana. Mchango wa wanaawake kwa masuala ya kijamii hauna mfano. katika jimbo la Machakos eneo la Tala nchini Kenya kina mama wanahalisisha ukweli huo kwamba wanatekeleza majukumu yao ipasavyo licha ya umri wao mkubwa.

Sikiliza sauti 09:45