1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfahamu Yoshimi Yamashita,refa mwanamke kutoka barani Asia

14 Julai 2022

Karibu katika makala ya wanawake na maendeleo,leo tunamuangazia Yoshimi Yamashita, mwanamke huko nchini Japan,ambaye ni mmoja wa wanawake watatu ambao wamechaguliwa katika kundi la waamuzi wakuu 36 watakaochezesha wakati wa fainali za kombe la dunia la mpira wa miguu kwa wanaume, linalotarajiwa kufanyika nchini Qatar,kuanzia Novemba 21 mwaka huu. Mtayarishaji ni Neema Misheki.

https://p.dw.com/p/4E8bE