1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanasiasa wanapounda miungano wanazingatia mwananchi?

John Juma12 Aprili 2022

Kenya inapojiandaa kwa uchaguzi wa Agosti, suala moja linalodhihirika ni wanasiasa kuunda miungano ya vyama kama ilivyo kwa Azimio au Kenya Kwanza.Je ni kwa nini? faida, hasara na hatari zilizopo ni zipi? Maswali hayo na mengine mengi John Juma anamuuliza mchambuzi wa siasa Barrack Muluka anayeanza kwa kueleza misingi ya miungano kama hiyo kisheria.

https://p.dw.com/p/49r6P