1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanasiasa wanapodaiwa kufadhili machafuko, nani alaumiwe?

Wakio Mbogho/MMT3 Desemba 2020

Mara kwa mara kumesikika madai kwamba wanasiasa hufadhili mapigano, migawanyo katika jamii na kusababisha madhara makubwa ili wao wajinufaishe kisiasa na kiushawishi. Wa kale walisema mwamba ngoma huvutia kwake... sasa inapotokea wanasiasa hao wanawamba ngoma, ndio hapo kunapoibuka majanga. Sikiliza makala hii ya mbiu ya mnyonge upate kujijuza zaidi.

https://p.dw.com/p/3m9wk