Wanariadha wa Kenya wanaopeperusha bendera za nchi nyengine Olimpiki | Mada zote | DW | 12.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wanariadha wa Kenya wanaopeperusha bendera za nchi nyengine Olimpiki

Mwenge wa Olimpiki katika sherehe ya ufunguzi wa Rio mwaka 2016. Sio wanariadha wote katika michezo hiyo hudumisha uzalendo katika nchi zao. Hawa ni baadhi ya wanariadha mashuhuri waliobadili uraia wao.