Wakuu wa ujasusi Afrika wakutana Kigali | Matukio ya Afrika | DW | 05.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Wakuu wa ujasusi Afrika wakutana Kigali

Mkutano huo unaojumuisha viongozi wa nchi 51 na ulio wa faragha umefunguliwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda. Viongozi wanajadili kupambana na vitisho vya usalama kutoka ndani na nje ya bara la Afrika.

Sikiliza sauti 02:30

Ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com