Waigizaji weusi Ufaransa waandamana | Media Center | DW | 12.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Waigizaji weusi Ufaransa waandamana

Waigizaji weusi 16 wa kike walifanya maandamano katika sherehe za zulia jekundu la Cannes huko Ufaransa ili kupinga ubaguzi wa rangi katika sekta ya filamu ya Ufaransa. Wakiongozwa na mcheza filamu aliyezaliwa Senegal Aisa Maiga, wacheza filamu hao walishikana mikono katika sherehe hizo na wakatembea katika zulia hilo jekundu hadi katika eneo maarufu la ngazi liitwalo Palias des Festivals.

Tazama vidio 01:05