Wagombea wa kujitegema wajitokeza kwa wingi | Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017 | DW | 09.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

kenya yaamua

Wagombea wa kujitegema wajitokeza kwa wingi

Takribani nusu ya wagombea binafsi waliojitokeza katika uchaguzi mkuu wa Kenya wamefanikiwa kushika nafasi mbalimbali kama vile useneta na ubunge. Mchambuzi Agina Ojwanga afafanua umuhimu wao.

Sikiliza sauti 03:06
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na mchambuzi Agina Ojwanga

           

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com