Wachina watekwa nyara Sudan
19 Oktoba 2008Matangazo
Khartoum.
Wafanyakazi 9 wa Wakichina wa shughuli za mafuta wametekwa nyara katika mkoa tajiri kwa nishati wa Kordofan kusini,nchini Sudan.Afisa wa ubalozi wa China mjini Khartoum, amesema wafanyakazi hao walikamatwa na watu wasiojulikana jana.
Hii ni mara ya tatu mwaka huu, wafanyakazi wa shughuli za mafuta wanatekwa nyara mkoani huo.